Kauli Wanazopenda Wanaume Kuzisikia Kwa Wenza Wao, Zipo Hapa – Global Publishers
HAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima la kudumisha uhusiano. Ukimfanyia yale anayoyapenda, sio kwamba atafurahi tu bali unamtengenezea kumbukumbu nzuri. Unatengeneza sifa njema kwa mwenzi wako. Anakuona umuhimu wako, anatambua utu wako na kukupa thamani ya kuwa mwenzi wake wa maisha. Ule ubinadamu au mambo…