Admin

Maana mabadiliko ya ada za bandari

Dar es Salaam. Mjadala umeibuka miongoni mwa wadau wa sekta ya uchukuzi na wafanyabiashara kufuatia kutangazwa kwa ada mpya za mizigo ya ndani katika bandari nchini, huku baadhi wakidai zinaongeza gharama za biashara. Hata hivyo, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema hatua hiyo inalenga kuboresha miundombinu na kuongeza ufanisi wa huduma za bandari….

Read More

Majonzi mwili wa Naomi ukipatikana katika mazingira tata

Iringa. Majonzi mazito yametanda katika familia moja mjini Iringa baada ya kupatikana kwa mwili wa Naomi Kivamba (13) aliyekuwa akisoma darasa la saba Shule ya Msingi Njiapanda aliripotiwa kupotea ghafla nyumbani kwao kabla ya kupatikana akiwa amefariki dunia. Ndani ya nyumba ya familia hiyo kulikuwa na hali ya huzuni iliyochanganyika na mshangao, huku watu wakikusanyika…

Read More

KATIBU MKUU CCM AFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI NA UTAWALA BORA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Asha-Rose Migiro, leo Jumatatu,Machi 9,2026, amefungua rasmi mafunzo maalum ya Uongozi na Utawala Bora kwa viongozi na watendaji waandamizi wa Chama yanayofanyika katika Ukumbi wa Mount Royal, Mkoani Iringa. Mafunzo hayo ya siku nne yameandaliwa na Jitegemee Holdings Company Limited (JHCL) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wakurugenzi…

Read More

Siku ya Kimataifa ya Wanawake mwaka huu yatoa wito wa kumchagua mwanamke kama Katibu Mkuu ajaye – Masuala ya Kimataifa

Maoni na Anwarul K. Chowdhury (new york) Jumatatu, Machi 09, 2026 Inter Press Service NEW YORK, Machi 9 (IPS) – Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake (IWD) mwaka huu, jumuiya ya kimataifa inafanya hivyo katika wakati wa kuendelea kwa misukosuko, migogoro na kutokuwa na uhakika kuhusu mustakabali wa sayari yetu. Nyakati kama hizi zinatukumbusha tena…

Read More

WATALAAM WA FEDHA SADC WAJADILI VYANZO VYA KUONGEZA BAJETI

::::::::: Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 09,  2026 kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano wa kikanda kusini mwa Afrika.  Watalaamu wa masuala ya fedha na bajeti kutoka Tanzania, wakiongozwa na Kamishna wa Fedha za Nje  katoka Wizara…

Read More