TADB YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM ZANZIBAR
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Machi 9, 2026 imetembelea watoto wenye mahitaji maalum katika vituo viwili vya kulelea watoto Zanzibar kwa lengo la kuwafariji na kuwaunga mkono katika kipindi hiki cha mfungo mtukufu wa Ramadhani. Katika ziara hiyo, benki ilifika katika Kituo cha ZASO Children Home kilichopo Fuoni Mambo Sasa ambacho kina…