Admin

Profesa Wa Sheria, Mwanadiplomasia Costa Mahalu Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 77

Bakari Mahundu March 9, 2026 0 Comments   Profesa wa sheria na mwanadiplomasia, Costa Mahalu (77), amefariki dunia. Taarifa kutoka kwa familia yake imethibitisha kuwa Profesa Mahalu amefariki leo Jumatatu, Machi 9, 2026, katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), alipokuwa akipatiwa matibabu. Profesa Mahalu alitambuliwa kama msomi mahiri, mwalimu mwenye bidii na mwanadiplomasia mwenye…

Read More

Kihongosi awapigania wafanyabiashara Bariadi | Mwananchi

Bariadi. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametaka wafanyabiashara walioondolewa katika eneo ambalo ujenzi wa soko kuu la Wilaya ya Bariadi unaendelea kupewa kipaumbele ujenzi utakapokamilika. Pia, ametoa maagizo mawili kwa mkandarasi anayejenga soko hilo, akitaka ujenzi ukamilike ndani ya muda wa mkataba, Februari 3, 2027 na pia…

Read More

Bayern Munich Wajipanga Kushinda Makombe Yote Msimu Huu

Wababe wa Ujerumani Bayern Munich wameendelea kuthibitisha ukubwa wao msimu huu baada ya kuendelea kufanya vyema kwenye michuano yote. Je msimu huu wanaweza kuibuka na mataji mangapi? Katika ligi ya Bundesliga, Bayern Munich imeonyesha ubora mkubwa kuanzia mwanzo wa msimu huku safu yao ya ushambuliaji ikiwa na makali makubwa ambayo inaongozwa na Harry Kane. Timu…

Read More

Migogoro ya ardhi na mirathi inavyowatesa wananchi

Tanga. Imeelezwa kuwa, migogoro ya ardhi na mirathi imeendelea kuwa chanzo cha malalamiko kwa wananchi nchini, hali iliyosababisha maelfu ya watu kutafuta ushauri kupitia kliniki za sheria zinazoendeshwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Kupitia kliniki hizo, mawakili hushughulikia mashauri mbalimbali kwa kutoa ushauri wa kisheria na kuelekeza hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili wananchi wapate…

Read More