
Ismail Mgunda hana presha Mashujaa
BAADA ya mshambuliaji wa Mashujaa, Ismail Mgunda kurejea kucheza Ligi Kuu Bara amesema anatamani kutajwa katika orodha ya wafungaji wenye mabao mengi msimu unaoanza Septemba 17. Mgunda katikati ya msimu uliyopita aliondoka Mashujaa akiwa amefunga mabao mawili kwenda kujiunga na AS Vita ya DR Congo ambako hata hivyo hakufanikiwa kutimiza ndoto kwa kile alichokitaja ni…