
EQUITY YAWEKEZA KATIKA ELIMU YA MAWAKALA
Benki ya Equity imesema zaidi ya asilimia 80 ya miamala yake inafanyika kidigitali, hatua inayodhihirisha kasi ya ukuaji wa teknolojia katika sekta ya fedha,huduma hizo zinajumuisha mfumo wa uwakala ambao umeendelea kuwa njia kuu ya kuwafikishia wananchi huduma za kibenki bila kulazimika kufika kwenye matawi ya benki. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika Jukwaa la…