UNDP, UINGEREZA WATOA ZAIDI YA TSH MILIONI 70 KUIMARISHA BIASHARA BUNIFU ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU TANZANIA
Mpango huo unatekelezwa na UNDP kupitia Mradi wa FUNGUO kwa ushirikiano na Serikali ya Uingereza kupitia FCDO. Ushirikiano huo unalenga kuimarisha mfumo wa ubunifu nchini kwa kuwaunganisha wanafunzi na ushauri elekezi, fursa za ufadhili pamoja na mazingira yatakayosaidia mawazo yao kukua na kuwa biashara endelevu. Kabla ya kutangazwa kwa washindi, timu za wanafunzi zilipata mafunzo…