Dk Nchimbi aitaka UDSM kuwa kitovu cha ubunifu Kampasi ya Kagera
Bukoba. Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhakikisha Kampasi mpya ya Mkoa wa Kagera inakuwa kitovu cha uvumbuzi na ubunifu ili kuwawezesha vijana kutumia fursa za soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Dk Nchimbi amesema hayo leo Jumatatu, Desemba 15, 2025 alipoweka jiwe…