Mastaa Ligi Kuu wavunja rekodi CRDB Federation Cup
WACHEZAJI wanaocheza timu za Ligi Kuu Bara, wameanza vyema katika Michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), baada ya kufunga ‘Hat-Trick’ tatu hadi sasa, ikiwa ni idadi kubwa kwa nyota hao tofauti na msimu uliopita wa 2024-2025, walipofunga moja. Msimu huu wa 2025-2026, ‘Hat-Trick’, tano zimeshafungwa ikiwa ni hatua ya 32 bora na tatu ni za…