Wanawake FCC watakiwa kujenga Mshikamano na Umoja
Na Mwandishi Wetu Wanawake wa Tume ya Ushindani (FCC ) wametakiwa kuwa na upendo ambao utajenga mshikamano na kuleta ufanisi katika Taasisi. Hayo ameyasema Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Bi. Magdarena Utouh katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 ya kila mwaka. Magdelena amesema maadhimisho ya Siku ya…