Admin

‘Utapeli ni tishio la ukuaji wa huduma za kifedha kimtandao’

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa kadri huduma za kifedha kwa njia ya kidijitali zinavyokuwa, ndiyo utapeli na ulaghai unavyozidi kuongezeka katika eneo hilo ambalo limebadilisha mambo mengi kwa namna chanya na kurahisisha maisha ma biashara za watu. Wataalamu wa sekta ya fedha wanasema endapo utapeli na ulaghai mtandaoni usipodhibitiwa unaweza kupunguza imani ya wananchi kwenye…

Read More

Akandwanaho, Chobwedo wailiza Fountain Gate

MABAO mawili yaliyofungwa na Joseph Akadwanaho na Ramadhan Chobwedo, yametosha kuipa furaha Tabora United na kupeleka kilio Fountain Gate. Hiyo ilikuwa katika mchezo wa kwanza wa Kundi A kwenye michuano ya Tanzanite Pre-Season International iliyoanza leo Agosti 31, 2025. Michuano hiyo inayofanyika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manywara, Akandwanaho alianza kuifungia Tabora United…

Read More

Dk Nchimbi alivyomaliza mvutano wa Matiko, Kembaki

Rorya/Tarime. Mvutano wa kisiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Tarime Mjini limechukua sura mpya baada ya mgombea mwenza wa urais wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi kuumaliza  kwa kumteua, Michael Kembaki kuwa kampeni meneja wa Esther Matiko. Kembaki alikuwa mbunge wa jimbo hilo (2020-2025), katika kura za maoni mwaka huu aliongoza, lakini…

Read More

Moto wazuka kwenye jengo jipya Kariakoo

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa Kariakoo leo wamekumbwa na taharuki baada ya moto kuzuka katika jengo moja lililopo katika makutano ya mitaa ya Aggrey na Sikukuu na kuharibu chumba kimoja cha duka kati ya vyumba 100 vilivyopo katika jengo hilo.Tukio hilo limetokea leo Agosti 31, 2025 saa 5:30 asubuhi na kuwashtua wafanyabiashara na wateja waliokuwa…

Read More

NMB yatangaza neema kwa wadau wa utalii

Dar es Salaam. Wakati sekta ya utalii nchini Tanzania ikiendelea kuwa kinara katika uingizaji wa fedha za kigeni, wadau na wafanyabiashara wanaohusika kwenye sekta hiyo wamehakikishiwa ushirikiano ili kuendelea kukua kwa kasi. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Tanzania (BoT), zaidi ya watalii milioni 5.3 wametembelea vivutio na hifadhi mbalimbali nchini na kuingiza…

Read More

Mpango wa Chaumma kikichukua dola Oktoba

Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza ajenda kuu zitakazotekelezwa iwapo kitapewa ridhaa ya kuongoza Tanzania, kikisisitiza nia yake ya kuleta mabadiliko ya kweli kwa Watanzania kupitia sera zinazolenga kuboresha maisha, kupambana na ufisadi na kuinua uchumi wa wananchi wa kawaida. Pia, kimeahidi kudhibiti ufisadi na kuongeza uwajibikaji serikalini kwa kuhakikisha utawala…

Read More