
Wahitimu 50 Bora Sayansi Wapatiwa Ufadhili wa Samia Scholarship Extended
Wahitimu 50 bora wa masomo ya Sayansi katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2025 wamechaguliwa kupata ufadhili kupitia Samia Scholarship Extended, kwa ajili ya kusomea programu za Akili Bandia (Artificial Intelligence), Sayansi ya Data na Sayansi shirikishi nyingine katika vyuo vikuu mahiri duniani. Akizungumza leo Agosti 31, 2025 jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu…