
Kina Mayele wamtibulia aliyeikacha Yanga
USHINDI wa mabao 2-0 iliyoupata Pyramids dhidi ya Al Ahly, umetibua mambo katika klabu hiyo mabingwa wa kihistoria wa Ligi ya Mabingwa Afrika na sasa moto unawaka huku anayesakwa ni aliyeikataa Yanga. Ni hivi. Kocha wa Al Ahly, Jose Riveiro amekalia kuti kavu ligi kuu ya Misri, akihesabu siku baada ya kuanza vibaya akiwa na…