
Wazazi wahimizwa kukamilisha chanjo ya polio kwa usalama wa watoto
Dar es Salaam. Wazazi na walezi wamehimizwa kuzingatia umuhimu wa chanjo ya polio kwa watoto, ili kuwaepusha na madhara mbalimbali yakiwamo ulemavu wa kudumu. Wito huo umetolewa wakati wa kampeni ya uhamasishaji inayoendeshwa kwa ushirikiano kati ya Hospitali ya Mwananyamala na Rotary Club mbalimbali, ikilenga kuongeza uelewa wa jamii kuhusu athari za ugonjwa huo na…