BARRICK BULYANHULU YAFANIKISHA UJENZI WA STENDI YA MABASI YA KISASA IKANGALA
Mkuu wa Wilaya ya Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale ,Grace Kingalame akiongea katika hafla ya uzinduzi wa stendi ya mabasi ya Ikangala ambayo imejengwa na Serikali kwa kushirikiana na Barrick Bulyanhulu Mkuu wa Wilaya ya Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale ,Grace Kingalame akiongea katika hafla ya uzinduzi wa stendi ya mabasi ya Ikangala ambayo…