Safari ya Monica kutoka kwenye soka hadi fundi simu Kariakoo
Dar es Salaam. Kwa nje, unaweza kumuona kama fundi simu wa kawaida anayefanya kazi zake Kariakoo lakini nyuma ya meza yake ya kazi, kuna historia ya kipekee ya maisha ya soka, mapambano ya majeraha na uamuzi wa kuanza upya. Hii ni safari ya Monica Conrad, mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa wanawake aliyewahi…