
Jesus Moloko Ajiunga na AS Kigali Kwa Mwaka Mmoja – Global Publishers
Last updated Aug 30, 2025 Mchezaji Jesus Ducapel Moloko aliyewahi kukipiga kunako klabu ya Yanga SC na AS Vita Club, amejiunga na AS Kigali kwa mwaka mmoja, msimu wa 2025/26. AS Kigali ni miongoni mwa timu zinazojiandaa na msimu ujao, hasa michuano ya Ligi ya Rwanda, itakayoanza mechi zake Septemba 14,…