
Morocco yatwaa ubingwa wa CHAN 2024, unakuwa wa tatu
Timu ya taifa ya Morocco, ‘Simba wa Milima ya Atlas’ imetwaa ubingwa wa Fainali za CHAN 2024 baada ya kuifunga Madagascar kwa mabao 3-2 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Moi Kasarani, Kenya. Hili linakuwa taji la tatu kwa Morocco linaloifanya iwe timu iliyotwaa mara nyingi ubingwa wa CHAN, ambapo awali ililibeba mara…