
WANANCHI GAIRO OKTOBA WANATIKI KWA DK.SAMIA …ATAJA ATAKAYOWAFANYIA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Gairo MAMIA ya wananchi wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro wamejitokeza kwa wingi katika mkutano wa kampeni za mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk.Samia Suluhu Hassan na kauli yao ni moja tu Oktoba wanatiki kwake. Akiwa katika mkutano huo wa kampeni leo Agosti 30,2025 wilayani Gairo Rais Dk. Samia Suluhu Hassan…