
Plastiki zilivyobadili maisha ya Mahanji aliyekatwa mguu kwa kisukari
Shinyanga. Katika juhudi za kulinda mazingira, Mahanji Seif, mkazi wa Kata ya Ndala, mkoani Shinyanga, ameibuka na ubunifu wa kutengeneza bidhaa kwa kutumia chupa za plastiki. Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake, Mahanji ameeleza alilazimika kuanzisha mradi huo baada ya kukatwa mguu kutokana na ugonjwa wa kisukari, hali iliyomfanya ashindwe kuendelea na shughuli zake za awali….