Admin

Serikali yatoa ahadi ulinzi wa bahari IORA ikiadhimisha miaka 29

Dodoma. Tanzania imesema ulinzi wa bahari na rasilimali zake utaendelea kupewa kipaumbele, hasa katika kipindi hiki ambacho Dunia inapitia changamoto ya mabadiliko ya tabianchi. Kauli hiyo imetolewa leo, Jumamosi, Machi 7, 2026, na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira anayeshughulikia Mazingira, Balozi Baraka Luvanda, wakati wa maadhimisho ya Siku…

Read More

TBS yaanza ujenzi wa maabara Kanda ya Kaskazini

Arusha. Shirika la Viwango nchini (TBS) limeanza mchakato wa ujenzi wa maabara katika Kanda ya Kaskazini kwa ajili ya kupima ubora wa bidhaa itakayorahisisha utendaji kazi wa shirika hilo na kupunguza muda uliokuwa unatumika kupeleka sampuli za bidhaa jijini Dar es Salaam. Meneja wa TBS Kanda ya Kaskazini, Joseph Ismail amesema hayo jana Ijumaa, Machi…

Read More

Kipa Singida BS afutiwa tuhuma za upangaji matokeo

ZIKIWA zimepita siku mbili baada ya Singida Black Stars kumfutia adhabu kiungo Khalid Aucho ya kumsimamisha kwa miezi mitatu kutokana na utovu wa nidhamu na utoro kazini, pia imefanya hivyo kwa kipa Amas Obasogie aliyekuwa akituhumiwa na ishu ya upangaji matokeo. Hatua hiyo inakuja baada ya Februari 27, 2026, taarifa ya Singida Black Stars iliyotolewa…

Read More

Migogoro inayoenea ‘kama moto wa nyika’, mkuu wa haki za Umoja wa Mataifa anaonya – Masuala ya Ulimwenguni

UNHCR Moshi unafuka baada ya shambulizi la anga huko Beirut, Lebanon. Ijumaa, Machi 06, 2026 Habari za Umoja wa Mataifa Ghasia kote Mashariki ya Kati zinaendelea huku mashambulizi ya kijeshi na mashambulizi ya kukabiliana yakiripotiwa katika nchi kadhaa katika eneo hilo, na kuzua hofu ya kukosekana kwa utulivu na kuzorota kwa hali ya kibinadamu. Mashirika…

Read More

HAYATI MAALIM SEIF AIBUKA KIDEDEA MAHAKAMA YA AFRIKA

Na Seif Mangwangi, Michuzi TV Arusha MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), imekubali malalamiko ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo na Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Hayati Maalim Seif Sharifu Hamad na wenzake katika kesi ya msingi waliyoifungua mahakamani hapo mara baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka…

Read More

RAIS NDAYISHIMIYE AWASILI TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA 25 JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ARUSHA.

:::::::::: Rais wa Jumhuri ya Burundi  Évariste Ndayishimiye amewasili katika Uwanja wa Ndega wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha.  Akiwasili Mkoani humo amepokelewa na…

Read More