
NEMC YAJA NA USAFI KAMPENI 2025
:::::::: Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezindua kampeni mpya ya usafi iitwayo “NEMC Usafi Campaign 2025” yenye lengo la kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu katika usafi wa mazingira na kuhakikisha nchi inakuwa safi, salama na yenye afya kwa wote. Kampeni hiyo ambayo itatekelezwa kwa ushirikiano na Ofisi ya Rais – TAMISEMI,…