
Zanzibar, Qatar zasaini makubaliano ya Sh25 trilioni
Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa Dola za Marekani 10 bilioni zaidi ya Sh25 trilioni na kampuni kutoka Qatar. Kiasi hicho cha fedha kinalenga kutumika katika sekta miradi ya kimkakati na kipaumbele ukiwemo uchumi wa buluu, utalii, uhifadhi wa mafuta, bandari na nishati ya umeme. Mkataba huo…