Mtanzania aula na makinda ya Barcelona
MCHEZAJI kinda wa Kitanzania, Barka Seif, ameula katika kikosi bora cha vijana wenye umri chini ya miaka 12 kilichochaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Catalonia (FCF). Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye vipaji kutoka klabu mbalimbali ndani ya Catalonia kama vile Barcelona, Espanyol RCD, Girona na Damm. Barka amechaguluwa katika kikosi hicho kufuatia kufunga mabao 18 katika…