
TANESCO YAKAMATA WATU WATANO WAKIHUJUMU UMEME KAHAMA
Afisa Usalama wa TANESCO Mkoa wa Tabora na Msimamizi wa Usalama wa Kanda ya Magharibi, Said Sombwe, akionesha eneo ambalo wizi wa umeme ulikuwa ukifanyika wakati wa oparesheni maalum ya BAOMA wilayani Kahama. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewakamata watu watano katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, kwa…