Wanawake wa TRA Morogoro Wawafariji Watoto Yatima na Wazee
Kuelekea ya Siku ya Wanawake Duniani, wanawake wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Morogoro wametembelea na kutoa msaada katika kituo cha kulelea watoto yatima RAYA, MGOLOLE pamoja na kituo cha kulelea wazee cha Fungafunga kilichopo Manispaa ya Morogoro. Ziara hiyo imelenga kuonyesha upendo, mshikamano na kuwafariji watoto pamoja na wazee wanaohitaji msaada katika…