
SARA MSAFIRI MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI MVOMERO SASA NI HISTORIA
NA FARIDA MANGUBE, MOROGORO Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Sara Msafiri, amesema historia ya migogoro ya muda mrefu kati ya wakulima na wafugaji katika wilaya ya Mvomero sasa imefutwa kabisa, kufuatia juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Mgombea Urais,…