Admin

SERIKALI YAPUNGUZA KODI YA UINGIZAJI WA VITENGE NA KUTOA MSAMAHA WA KODI KWENYE GESI ILI KUHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu, Michuzi Tv MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kupitia Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa, imekutana na wadau mbalimbali wakiwemo watumishi wa TRA, mawakala wa Forodha na wafanyabiashara mkoani Songwe na kuwapa elimu juu ya mabadiliko ya sheria za kodi kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Mkutano huo uliofanyika Agosti 28,2025 katika mpaka…

Read More

Mahakama yaridhia Hassano alipwe Sh36 milioni

MAHAKAMA KUU imebariki hukumu inayolitaka Shirika la Ndege la Turkish Airlines, kumlipa Hassan Othman Hassan ‘Hassano’, aliyewahi kuwa kiongozi wa klabu ya soka ya Simba, fidia ya Sh36 milioni kutokana na mzigo wake kupotea aliposafiri na ndege ya shirika hilo. Mizigo hiyo ni begi la nguo na vitu vingine, vilevile ndoo iliyokuwa na lita 10 za…

Read More

Mahakama yaridhia Hassano alipwe Sh 36 Milioni

MAHAKAMA KUU imebariki hukumu inayolitaka Shirika la Ndege la Turkish Airlines, kumlipa Hassan Othman Hassan ‘Hassano’, aliyewahi kuwa kiongozi wa klabu ya soka ya Simba, fidia ya Sh36 milioni kutokana na mzigo wake kupotea aliposafiri na ndege ya shirika hilo. Mizigo hiyo ni begi la nguo na vitu vingine, vilevile ndoo iliyokuwa na lita 10 za…

Read More

BALOZI DKT. NCHIMBI AHUTUBIA WANANCHI WILAYANI KWIMBA

Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia Wananchi katika uwanja wa CCM mjini Ngudu Wilayani Kwimba, alipopita kuwasalimia wakati akianza rasmi kampeni leo Agosti 29, 2025 jijini Mwanza. Pamoja na kuwahutubia wananchi pia alimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Kwimba ndugu Bulala Mutesigwa Cosmas Bmna…

Read More

Kocha AS Port aichimba mkwara KMKM

KOCHA wa AS Port ya Djibouti, Seninga Innocent ameichimba mkwara KMKM ambayo watakutana nayo kati ya Septemba 19 hadi 21, mwaka huu kwenye mechi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika mjini Unguja. Seninga ambaye hivi karibuni aliondoka Etincelles ya Rwanda amesema timu yake ipo katika maandalizi ya mechi hiyo, huku akiamini ushindi utaongeza matumaini…

Read More