
CHUO CHA FURAHIKA CHAWEKA MIKAKATI KUWAKOMBOA VIJANA 300 KWA KUWAPATIA MAFUNZO
NA VICTOR MASANGU Katika kuunga mkono juhudi mbali mbali zinazofanywa na Rais wa awamu ya sita. Dkt. Samia Suluhu Hassan hususan katika kundi la vijana uongozi wa chuo cha Furahika education College (FEC) kilichopo Jijini Dar es Salaam inatarajia kuwapatia mafunzo ya fani mbali mbali kwa vijana wapatao 300 ambapo watapataa fursa ya kusoma masomo…