Admin

Mahakama yaridhia Hassano alipwe Sh 36 Milioni

MAHAKAMA KUU imebariki hukumu inayolitaka Shirika la Ndege la Turkish Airlines, kumlipa Hassan Othman Hassan ‘Hassano’, aliyewahi kuwa kiongozi wa klabu ya soka ya Simba, fidia ya Sh36 milioni kutokana na mzigo wake kupotea aliposafiri na ndege ya shirika hilo. Mizigo hiyo ni begi la nguo na vitu vingine, vilevile ndoo iliyokuwa na lita 10 za…

Read More

BALOZI DKT. NCHIMBI AHUTUBIA WANANCHI WILAYANI KWIMBA

Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia Wananchi katika uwanja wa CCM mjini Ngudu Wilayani Kwimba, alipopita kuwasalimia wakati akianza rasmi kampeni leo Agosti 29, 2025 jijini Mwanza. Pamoja na kuwahutubia wananchi pia alimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Kwimba ndugu Bulala Mutesigwa Cosmas Bmna…

Read More

Kocha AS Port aichimba mkwara KMKM

KOCHA wa AS Port ya Djibouti, Seninga Innocent ameichimba mkwara KMKM ambayo watakutana nayo kati ya Septemba 19 hadi 21, mwaka huu kwenye mechi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika mjini Unguja. Seninga ambaye hivi karibuni aliondoka Etincelles ya Rwanda amesema timu yake ipo katika maandalizi ya mechi hiyo, huku akiamini ushindi utaongeza matumaini…

Read More

Yanga, Simba zagawana viwanja Dar

MUDA mfupi baada ya Bodi ya Ligi kutangaza ratiba ya Ligi Kuu Bara, imethibitisha kuwa Yanga imebadili uwanja wa nyumbani na sasa itatumia ule wa Mkapa, huku Simba ikibaki KMC Complex, Mwenge vyote jijini Dar es Salaam. Msimu ulioisha Simba na Yanga zote zilikuwa zinatumia Uwanja wa KMC kama uwanja wa nyumbani,lakini sasa Mnyama ndio…

Read More

Bado Watatu – 12

Baada ya muda kidogo nikaona mlango unafunguliwa. Aliingia msichana mweupe. Alikuwa amevaa baibui jeusi. Kichwa chake alikuwa amekifunika kwa hijabu. Aliponiona aligutuka, akafunga mlango na kuja kukaa kwenye sofa jingine.

Read More

Kocha Azam FC aishtukia Yanga

KOCHA wa zamani wa Azam FC, Bruno Ferry ameula huko Angola baada ya kupewa mkataba wa miaka miwili kuinoa Wiliete Benguela itakayovaana na Yanga katika mechi za raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku akisema anajua kibarua alichonacho mbele ya wababe hao wa Bara. Bruno, ambaye pia ni kocha wa makipa aliwahi kuinoa…

Read More