
SERIKALI YAPUNGUZA KODI YA UINGIZAJI WA VITENGE NA KUTOA MSAMAHA WA KODI KWENYE GESI ILI KUHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Mwandishi Wetu, Michuzi Tv MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kupitia Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa, imekutana na wadau mbalimbali wakiwemo watumishi wa TRA, mawakala wa Forodha na wafanyabiashara mkoani Songwe na kuwapa elimu juu ya mabadiliko ya sheria za kodi kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Mkutano huo uliofanyika Agosti 28,2025 katika mpaka…