
Kocha AS Port aichimba mkwara KMKM
KOCHA wa AS Port ya Djibouti, Seninga Innocent ameichimba mkwara KMKM ambayo watakutana nayo kati ya Septemba 19 hadi 21, mwaka huu kwenye mechi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika mjini Unguja. Seninga ambaye hivi karibuni aliondoka Etincelles ya Rwanda amesema timu yake ipo katika maandalizi ya mechi hiyo, huku akiamini ushindi utaongeza matumaini…