Admin

Dabi ya pili Kariakoo kabla ya Krismasi

WAKATI ukiendelea kutafakari ratiba ya mchezo wa ufunguzi wa ligi Ngao ya Jamii kati ya watani wa jadi Simba na Yanga, Dabi ya Kariakoo iliyopigwa kuchezwa Septemba 16 timu hizo mbili zitakutana tena Desemba 13, mwaka huu kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara. Mchezo huo utakuwa wa duru ya kwanza kwa wawili hao ambapo Yanga…

Read More

Vyakula vinavyoondoa mafuta mwilini | Mwananchi

Katika ulimwengu wa leo ambako uzito kupita kiasi na unene ni changamoto kubwa kwa watu wa rika mbalimbali, wengi wamegeukia njia za haraka za kupunguza mafuta mwilini kama vile dawa za kupunguza uzito, mazoezi ya ghafla au hata upasuaji. Hata hivyo, ukweli ni kwamba mojawapo ya njia bora, salama na ya kudumu ya kupunguza mafuta…

Read More

Madhara ya kubana haja ndogo muda mrefu

Dar es Salaam. Je, una tabia ya kubana mkojo kwa muda mrefu yani kuanzia saa tatu na kuendelea? Unajua ni kwa namna gani tabia hiyo ni hatarishi kwa afya yako na mfumo wa utoaji takamwili kwa ujumla? Baadhi ya watu hubana mkojo kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali,  ikiwemo kutokuwa katika mazingira rafiki ya…

Read More

Lishe inavyoathiri hisia, afya ya akili

Watu wengi wanapozungumzia lishe, mawazo huenda moja kwa moja kwenye uzito wa mwili, nguvu za mwili au maumbile ya nje kama vile ngozi, nywele na misuli.  Hata hivyo, kuna upande mwingine muhimu wa lishe ambao haupewi uzito wa kutosha, nao ni ule wa athari zake kwenye hisia na afya ya akili.  Lishe unayokula kila siku…

Read More

Hekima ya Sunna ya Aqiqa katika Uislam

Dar es Salaam. Aqiqa” ni mnyama anayechinjwa kwa ajili ya mtoto wa kiume au wa kike siku ya saba baada ya kuzaliwa, kwa ajili ya kumshukuru Allah Mtukufu. Ibada hii ni Sunna muhimu katika Uislamu ambapo familia inafurahi kwa kupata mtoto mpya. Ushahidi wa Sunna hii ni kauli ya Mtume wa Allah (Rehema na amani…

Read More

MBETO ASEMA WALICHOKIPAMDA ACT WAZALENDO NDICHO WATAKIVUNA

 :::::::::: Na Mwandishi Wetu, Zanzibar  Chama Cha Mapinduzi kimekitaka ACT Wazalendo kisimtafute mchawi katika sakata la kuenguliwa mgombea wao wa urais , badala yake wajue kinachopandwa ndicho kinachovunwa. Pia kimemtaka Kiongozi Mstaafu wa chama hicho Zito Kabwe kuacha kutoa shutuma zisozo na sababu wakati Luhaga Mpina ameengulia kwa kukiuka masharti ya katiba ya chama hicho….

Read More

Mstaafu anapotamani kurudisha kadi yake ya ustaafu!

Pamoja na miaka 66 aliyo nayo, mstaafu wetu anamiliki anachoita kitambulisho kimoja tu kinachomtambulisha kuwa yeye ni mstaafu wa shirika lililokuwa kubwa enzi zake la ‘nanihii’, alichopata siku alipostaafu kwa hiari yake miaka 15 iliyopita! Mstaafu wetu pia ana tarakimu za kadi ya Nida, sio kadi yenyewe, aliyoiomba miaka sita iliyopita, lakini akakata tamaa na…

Read More