
Samia, Dk Nchimbi wanavyoanza kuzisaka kura mikoani
Kampeni za wagombea urais na mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi (CCM) zinaendelea leo Ijumaa, Agosti 29, 2025 katika maeneo tofauti nchini. Wakati, mgombea urais, Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Morogoro, mgombea mwenza, Dk Emmanuel Nchimbi ataanza kuchanja mbuga mikoa ya Kanda ya Ziwa yenye wapigakura wengi, akianzia Mwanza. Kwa mujibu wa takwimu za sensa…