
Fadlu afichua siri ya kambi, ataja kitu kizito
SIMBA jana ilimtambulisha rasmi mshambuliaji mpya, Seleman Mwalimu ‘Gomes’ ambaye Mwanaspoti liliwataarifu mapema angetua Msimbazi kwa mkopo kutoka Wydad Casablanca ya Morocco, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids akiichambua kambi ya Misri. Simba iliweka kambi ya karibu mwezi mzima nchini humo, ikianzia jiji la Ismailia kabla ya kuhamia Cairo na iliifunga rasmi juzi…