Simulizi za wazazi malezi ya watoto njiti
Dar es Salaam. Kwa wazazi wa watoto njiti, kila pumzi ya mtoto ni ushindi na kila usiku wa hofu ni hatua nyingine kuelekea kwenye mwanga wa kesho. Mohammed Salim anakumbuka siku ya Mei 5, 2017 ambayo maisha yake na ya mkewe yalibadilika kwani wakati wao wakiwa wamejiandaa kupata mtoto wa pili, safari yao iligeuka kuwa…