Admin

Hakuna Nchi Duniani Imefikia Usawa Kamili wa Kisheria kwa Wanawake na Wasichana – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: UN Women/Marcela Erosa Maoni na UN Women (new york) Alhamisi, Machi 05, 2026 Inter Press Service NEW YORK, Machi 5 (IPS) – Tarehe 8 Machi 2026, Siku ya Kimataifa ya WanawakeUN Women yatoa tahadhari ya kimataifa: mifumo ya haki inayokusudiwa kuzingatia haki na utawala wa sheria unashindwa wanawake na wasichana kila mahali. Wanawake duniani…

Read More

Aucho mambo safi Singida BS, rasmi arejea kazini

UONGOZI wa Singida Black Stars, umetangaza kumsamehe kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho na kumrejesha kazini kuanzia leo Machi 5, 2026 baada ya kufanyika kwa majadiliano na tathmini ya kina kufuatia tukio lililotokea wakati wa mazoezi ya timu. Februari 27, 2026, uongozi wa Singida Black Stars ulitangaza kumsimamisha Aucho kwa miezi mitatu kwa tuhuma za…

Read More

UNDP, Serikali ya Uingereza Yawakutanisha Viongozi wa Vyuo Vikuu Kuchochea Ubunifu na Ujasiriamali Zanzibar

 Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania), kwa ushirikiano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Chuo cha Indian Institute of Technology Madras Zanzibar (IIT Madras Zanzibar), limewakutanisha viongozi wa vyuo vikuu, watunga sera na wadau wa mifumo ya ubunifu kutoka Afrika Mashariki kuanzia Machi 4–6, 2026, katika Mpango wa Kihistoria wa…

Read More

Waandamanaji wa Irani waliofungwa wanakabiliwa na hukumu ya kunyongwa ‘haraka’ – Global Issues

The Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Kutafuta Ukweli (FFM) kuhusu Iranambayo iliundwa na Baraza mnamo 2022, ilisema ina wasiwasi mkubwa juu ya ulinzi wa wafungwa, pamoja na kuongezeka kwa ghasia zinazoendelea kuathiri Lebanon na Mataifa mengi ya Ghuba. Jopo la wataalam huru wa haki walitaja ripoti za kuaminika “kwamba wengi (wafungwa nchini Iran) wako katika…

Read More

Ushindani sokoni unavyoshusha bei, kuchochea ubunifu

Ni rahisi kuona kampuni kubwa zikishindana na kudhani lengo lao ni kuumizana. Lakini tukilitazama kwa jicho pana, ushindani wa kibiashara si vita ya kuangamiza bali ni nguvu inayowanufaisha wateja. Ukiwa na usimamizi mzuri, ushindani huwa kama fadhili iliyojificha unasukuma ubora juu, bei chini, na ubunifu mbele. Fikiria simu ya mkononi uliyonayo. Kila mwaka kampuni kubwa…

Read More