
Kikwete: Wanaojitia kimbelembele kukosoa uteuzi wa Samia CCM, wanajitoa ufahamu
Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ameeleza kushangazwa na waliotaka Rais Samia Suluhu Hassan asigombee urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema mbona hawakufanya hivyo kwa wakuu wa nchi wa Serikali za awamu zilizopita. Miongoni mwa wanaopinga hilo, amesema wapo waliomshushia lawama baada ya kushauri utaratibu wa kupitishwa kwa Rais Samia…