Admin

Jela mitano kwa kuishi kinyumba na mwanafunzi

Maswa. Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu kifungo cha miaka mitano gerezani, mkazi wa Kijiji cha Malampaka, Zackaria Shija (38), kwa kosa la kuishi kinyumba  na kumpa ujauzito mwanafunzi mwenye umri wa miaka 20. Hukumu hiyo imetolewa Agosti 27, 2025 na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Aziz Khamis, ambaye amesema mtuhumiwa atahukumiwa kifungo…

Read More

AIRTEL MONEY YAZINDUA “AIRTEL MONEY NI BUREE” NA NI NAFUU” KUONGEZA UHURU WA KUFANYA MIAMALA AIRTEL MONEY

  Dar es Salaam, Agosti 28, 2025 – Airtel Money Tanzania leo imetangaza uzinduzi wa kampeni mbili kabambe maalum kwa wateja wake wa Airtel Money itakayojulikana kama Airtel Money Ni Buree na Ni Nafuu, ikiwa na lengo la kuendelea kutoa uhuru zaidi kwa wateja wote wanaotumia Airtel Money. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika Makao…

Read More

Kampeni ya CCM Kawe yaleta kicheko kwa wauza nyama choma, vyakula

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa chakula, vinywaji baridi, nyama choma, na vitafunwa katika viwanja vya Tanganyika Packers wameeleza kufurahishwa na mauzo mazuri kufuatia umati mkubwa wa watu  uliokusanyika kushuhudia uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Maelfu ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam wamefurika katika…

Read More

Mafuriko ya Pakistan huacha vijiji vimekatwa wakati uharibifu wa monsoon unavyoendelea – maswala ya ulimwengu

Mawakala wa misaada wanaendelea kufanya kazi bila kuchoka kufikia maeneo magumu zaidi. Mamlaka ya Usimamizi wa Maafa ya Kitaifa (NDMA) ilisema karibu watu 800 wamekufa tangu mwishoni mwa Juni – karibu mara tatu wakati wa kipindi kama hicho mwaka jana. Mkoa wa Khyber Pakhtunkhwa umekuwa mgumu sana, ambapo mafuriko na maporomoko ya ardhi yalitoka nyumba…

Read More

Vijana chuo kikuu wabuni mradi kujiajiri wakiingiza kipato Sh133 milioni

‎Iringa. Katika mazingira yenye ushindani wa ajira na changamoto za kiuchumi, kikundi cha Vijana wa Iringa kimeanzisha mradi wa kisasa wa usindikaji mvinyo chini ya kampuni LordFather inayoundwa na Kassim Mgambo, Irene Mdegipala, Lukelo Mallumbo, Naomi Fedrick na Marry Mallumbo. ‎Akizungumza na Mwananchi Digital Agosti 27, 2025, Katibu wa Kampuni ya Lord father, Kassim Mgambo…

Read More

Mahakama yaamuru aliyemwibia mwajiri wake arejeshwe nchini

Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuamuru Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi Ilala, kuanza na kukamilisha uchunguzi wa malalamiko ya wizi yaliyowasilishwa ofisini kwake na Radhika Pankanj dhidi ya aliyekuwa mfanyakazi wake (Mukesh Menaria). Aidha, imeelekeza kuchukua hatua zote halali na zinazofaa ili kuwezesha uchunguzi huo na kuhakikisha Mukesh anarudi nchini…

Read More

Maeneo 168 yaathiriwa mabadiliko tabianchi Zanzibar

Unguja. Jumla ya maeneo 168 ya fukwe, makazi na miundombinu ya barabara yameathirika na mabadiliko ya tabianchi kisiwani hapa, kati ya hayo 25 Unguja na 143 kutoka Pemba.  Kutokana na athari  hizo, Serikali imeanzisha Mamlaka ya Mazingira yenye kitengo maalumu cha mabadiliko ya tabianchi chenye jukumu la kutoa elimu kwa jamii juu ya athari za…

Read More