NGO zahimizwa kujenga misingi imara ya uongozi
Dodoma. Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa uwazi na uwajibikaji na kubaini makosa kabla hayajawa makubwa, pia viongozi wameelekezwa kuacha alama kwa maeneo ama taasisi wanazokabidhiwa kuziongoza. Wito huo umetolewa leo Jumanne Desemba 16, 2025 na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (IoDT) Said Kambi wakati wa kusaini mkataba wa makubaliano ya kuwajengea uwezo viongozi…