
MCHENGERWA AWAONGOZA WANAPWANI UZINDUZI WA KAMPENI ZA KIHISTORIA ZA URAIS
Na John Mapepele Mgombea wa Nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)na MNEC kupitia Mkoa wa Pwani, Ndugu Mohamed Omary Mchengerwa amewaongoza maelefu ya wanaCCM wa Mkoa wa Pwani kuhudhuria uzinduzi wakihistoria wa kampeni ya mgombea wa urais kwa CCM Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Uzinduzi huu unafanyika leo katika…