Admin

WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUKAMILIKA DARAJA LA JEMA- OLDONYOSAMBU

………. 📌Miaka ya adha yafikia kikomo, usafirishaji wa mazao na huduma za kijamii sasa warahisishwa Ngorongoro  Wananchi wa Kata ya Oldonyosambu, wilayani Ngorongoro, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea daraja la mawe lenye urefu wa mita 45 katika Mto Mbaga linalounganisha vijiji vya Jema na Oldonyosambu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi hao walisema kukamilika kwa daraja hilo…

Read More

Kwa Wasichana katika Ukanda wa Kikabila wa Pakistani, Michezo ya Wanawake Inakuja kwa Gharama — Masuala ya Ulimwenguni

Picha inaonyesha timu ya kriketi ya wasichana wote kutoka Dir ambayo ilifika fainali ya michezo ya kanda, yote bila kufundishwa, mnamo 2023. "Fikiria kile wanaweza kufikia wakiwa na vifaa vinavyofaa na mafunzo yanayofaa," Alisema Noorena Shams, pia kutoka Dir. Kwa hisani: Noorena Shams na Zofeen Ebrahim (karachi, pakistan) Jumatano, Machi 04, 2026 Inter Press Service…

Read More

BRELA KUIMARISHA URASIMISHAJI NA MIFUMO YA KIDIJITALI

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), yatakiwa kuongeza kasi ya urasimishaji wa biashara na kuimarisha mifumo ya kidijitali ili kuchochea ufanisi na ukuaji wa uchumi kwani BRELA ni lango kuu la uwekezaji nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Kapinga (Mb), Machi 04, 2026, wakati akifungua Baraza la wafanyakazi…

Read More

NISHATI SAFI INAKOMBOA NA KUMPA HADHI MWANAMKE

::::::: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima, amesema mwanamke anapotumia nishati safi ya kupikia anapata muda zaidi wa kushiriki shughuli za uzalishaji, ubunifu na malezi bora ya familia. Akizungumza leo Machi 4, 2025 katika kongamano la wanawake wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) la kuhamasisha matumizi ya nishati…

Read More

Wakulyamba, Nyamhanga, Shilogile waagwa kwa gwaride rasmi

Moshi. Jeshi la Polisi nchini limewaaga makamishna wake watatu wastaafu katika gwaride maalumu lililofanyika leo Machi 4, 2026, wenyewe wakijivunia kufanikisha operesheni kubwa ndani ya jeshi hilo. Makamishna walioagwa ni aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba, pamoja na Makamishna Albert Nyamhanga na Faustine Shilogile. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mkuu wa Jeshi la…

Read More