
Shule ya Sekondari Morogoro yaeleza ufanisi matumizi ya nishati safi ya kupikia
Morogoro. Shule ya Sekondari Morogoro imepunguza gharama za matumizi ya nishati kwa zaidi ya asilimia 67 kila mwezi tangu kuanza kutumia gesi badala ya kuni na mkaa mnamo Novemba 2024. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 1954 ina yenye wanafunzi wa bweni 615, awali ilitegemea kuni na mkaa, hali iliyosababisha moshi uliodhuru afya za wapishi na kuchafua…