
Adaiwa kumuua mwanaye kwa jembe wakizozania chakula
Dar es Salaam. Baba mwenye umri wa miaka 63 (jina lake halijapatikana) mkazi wa Kijiji cha Sakwa Kusini kilichopo Kaunti ndogo ya Awendo nchini Kenya anadaiwa kumuua mwanaye wakati wakizozania chakula kisha kutokomea. Tukio hilo limeripotiwa usiku wa Jumanne Agosti 26, 2025 baada ya marehemu mwenye umri wa miaka 28 kuripotiwa kwenda nyumbani kwa baba…