Admin

Serikali kuendelea kuwawezesha wanawake kutumia nishati safi

Dar es Salaam. Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira wezeshi yatakayohakikisha wanawake wanashiriki kikamilifu katika mnyororo wa thamani wa nishati safi, kuanzia uzalishaji wa majiko banifu hadi usambazaji wa teknolojia za kisasa za kupikia. Ahadi hiyo imetolewa leo Jumatano Machi 4, 2026 na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima…

Read More

Mikakati mipya ya Baresi KMC

KOCHA wa KMC, Abdallah Mohamed ‘Baresi’, amesema mechi tano zijazo za Ligi Kuu Bara kwa kikosi hicho zitakuwa za uamuzi mgumu wa kuamua hatima yao, japo jambo nzuri kwao kama benchi la ufundi ni kuona ratiba hiyo itaanza kuanzia mwezi ujao. Akizungumza na Mwanaspoti, Baresi alisema kutokuwa na mechi yoyote kwa mwezi huu ni jambo…

Read More

Mechi tano zatibua mambo Mbeya City

MWENENDO usioridhisha wa Mbeya City kwa sasa katika mechi za Ligi Kuu msimu huu, zimemweka kwenye wakati mgumu kocha wa timu hiyo, Mecky Maxime, huku presha ikizidi zaidi baada ya juzi kikosi hicho kuchapwa bao 1-0, dhidi ya Fountain Gate. Mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini, Mbeya, Mbeya City ilishindwa kutamba nyumbani na…

Read More

Nyota Azam awekwa chini ya uangalizi

KIUNGO mshambuliaji wa Azam, Nassor Saadun amewekwa chini ya uangalizi wa madaktari wa kikosi hicho baada ya kutoonekana uwanjani kutokana na majeraha ya nyama za paja. Akizungumza na Mwanaspoti, Daktari wa Azam, Mbaruku Mlinga, alisema mchezaji huyo amepata majeraha hayo ya kusumbuliwa na nyama za paja ndio maana hajaonekana uwanjani kwa muda sasa, ingawa maendeleo…

Read More

MJOMBA MATATANI KWA KUMPIGA NA KUMNING’INIZA MTOTO DIRISHAJI KWA KUUNGUZA MBOGA

 Jeshi la Polisi nchini Tanzania linamshikilia Joseph Mbalamwezi Francis Mkazi wa Mtaa wa Imalamakoe B, Wilayani Urambo, Mkoani Tabora kwa tuhuma za kumfanyia mtoto ukatili wa kufungwa kamba miguuni na mikononi na kisha kumning’iniza dirishani. Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime ameviambia Vyombo vya habari leo Jumatano  Machi…

Read More