
DKT MPANGO AIOMBA BENKI YA CRDB KUTOA ELIMU YA FEDHA AKIZINDUA TAWI BUHIGWE
Buhigwe. Tarehe 27 Agosti 2025: Akizindua tawi la Benki ya CRDB wilayani Buhigwe pamoja na kupokea madarasa mawili ya shule ya sekondari, Makamu wa Rais, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango ameisifu Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kutanua huduma jambo linalosaidia kuongeza ujumuishaji wa kiuchumi kwa wananchi. Mheshimiwa Makamu wa Rais amesema kitendo cha…