DG EWURA ASHIRIKI KIKAO CHA WADAU WAKUU WA MAFUTA NCHINI
********** Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dkt James Mwainyekule, leo, 4 Machi, 2026 ameshiriki kikao cha ngazi ya juu cha wamiliki wa kampuni za bidhaa za mafuta aina ya petroli nchini (OMCs) kilichoitishwa na Waziri wa Nishati Mhe. Deogratias Ndejembi (Mb) ili kujadili mikakati ya iliyowekwa na serikali kuimarisha hali ya upatikanaji wa mafuta hususani kipindi…