
Sakata la uteuzi mgombea urais ACT- Wazalendo latua mahakamani
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimefungua shauri la maombi kuhusiana na uteuzi wa mgombea wake wa nafasi ya urais, Luhaga Mpina, baada ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia kurejesha fomu yake ya kuomba uteuzi aliyokabidhiwa awali kuijaza. Chama hicho kimefungua shauri hilo Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dodoma, leo Jumatano, Agosti 27,…