
Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuua, kuiba bodaboda
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, iliyokaa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu dereva bodaboda, Ibrahim Othman maarufu kama Boban, kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia. Othman, anadaiwa kumuua dereva bodababoda mwenzake, aitwaye Mahmud Peya, tukio analodaiwa kulitenda Februari 4, 2023, Mbagala Kuu njia…