MSONGAMANO WA WATU DAR WATAJWA KUCHOCHEA UKATILI WA KIJINSIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga, amesema mkoa wa Dar es Salaam bado unaongoza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia nchini Tanzania. Amesema hali hiyo inachangiwa zaidi na msongamano mkubwa wa watu pamoja na muingiliano wa shughuli nyingi za kiuchumi. Henga ametoa kauli hiyo wakati wa warsha ya…